Friday , 18 April 2014
Habari Mpya:

Udaku wa Mapenzi

Karibu hapa utapata ishu zote za udaku wa Mapenzi, Fumanizi, Kuachika na kila aina ya vituko vya Mapenzi! Gonga Hapa Usome Zaidi Read More »

WEMA NA DIAMOND WAMFANYA HUDDAH MONROE KUWA GUMZO MTANDAONI BONGO

huda

Hivi majuzi mwanadada Huddah Monroe wa Kenya alitoa kauli kwenye mtandao kwa mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond platnumz juu ya Wema Sepetu kwa kumwambia kuwa “asihangaike na wadada wengine kwani wema ndio kipenzi chake na hao wengine wote ni wapiti njia” kauli ambayo kwa muda mfupi tuu imemfanya mwanadada huyo awe gumzo la mitandao hapa nchini na “kuchafua hali ya ... Read More »

Hatujafuta alama sifuri matokeo ya mitihani’

  Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, amesema Serikali haijafuta daraja sifuri katika matokeo ya mitihani taifa ya shule za sekondari na kwamba ilichokifanya ni kuondoa mrundikano wa madaraja. Mulugo aliyasema hayo jana bungeni, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige (CCM). Magige alitaka kufahamu kama kushusha madaraja ni suluhisho la ... Read More »

WEMA AWAJIBU BONGO MUVI BAADA YA KUMSUSIA MSIBA WA BABA YAKE

2

HUKU akiwa na majonzi ya kuondokewa na baba yake mzazi, Balozi Isaac Abraham Sepetu aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ugonjwa wa kisukari, baadhi ya wasanii wanaounda Klabu ya Bongo Movie (muvi) Unity wanadaiwa kuchekelea kifo hicho na kumsusia msiba mwingizaji mwenzao, Wema Isaac Sepetu. Habari kutoka chanzo chetu makini zilidai kuwa hoja dhaifu iliyotumiwa na wahusika hao ni kwamba Wema ... Read More »

Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

SHIBUDA

Kikao kinachojadili maendeleo ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya ziwa Mashariki (Mara,Simiyu na Shinyanga) kimemtimua Mbunge wa Maswa Magharibi John Magale Shibuda baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani naye muda mfupi uliopita jioni hii. Shibuda ambaye alihudhuria kikao hichou kama mbunge wa Kanda hiyo alijikuta akipatwa na zahama hiyo baada ya mjumbe mmoja kutoa hoja kwa ... Read More »

Kilichomponza Masogange Kukamatwa na Unga!

dawa

Imebainika kwamba, Baada ya mpango madhubuti uliosukwa na wauza madawa ya kulevya hapa nchini wakishirikiana na baadhi ya watumishi wasio waaminifu wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wa kuwasafirisha watuhumiwa hao Agnes Gerald maarufu kwa jina la Masogange na mwenzake Melisa Edward, mtandao huo ulikuwa pia umejipanga vyema nchini Afrika Kusini kuwapitisha watuhumiwa hao bila ... Read More »

Sababu Kuu za kuachika kwenye Mapenzi!

love couple

Kwenye mahusiano mmojawapo anapokuwa anaelekea kumpenda mwenzake sana na kumganda husababisha mmoja wapo kumchoka mwenzake. Wote mkiwa kwenye mahusiano pendaneni sawa ili kutopelekea kuchokana. Kukata tamaa kwenye mahusiano: Unapoonyesha namna ya kukata tamaa kwenye mahusiano au hali ya kusikiliza ya watu ni rahisi kupelekea mahusiano kuvunjiaka. Wengi kwenye mahusiano wanakaa kufikiria kuwa hadi kwenye ndoa. Hivyo unapokuwa na hali ya ... Read More »

NYOTA WA PRISON BREAK MICHAEL SCOFIELD AJITANGAZA KUWA NI SHOGA

Wentworth-Miller-prison-break-1688603-1024-768

Star wa “Prison Break”,  Wentworth Miller  a.k.a Michael Scofield, amejitangaza kuwa yeye ni “Gay” (shoga), katika barua ya wazi aliyoiandika kwenda kwa Directoe wa St. Petersburg International Film Festival (tamasha la filamu la kimataifa la St. Petersburg). Muigizaji huyo (41) ameandika barua hiyo kukataa mualiko uliokuwa ukimtaka kuhudhuria tamasha hilo linalofanyika nchini kwao Russia na kwa mara ya kwanza kupitia ... Read More »

Scroll To Top